Enock Maregesi

32 quotes

"Kuikaribisha amani ya Mungu katika maisha yangu kumenisaidia. Naishi mbinguni duniani."

Enock Maregesi

"Tunapenda kuamini kwa sababu kuamini hurahisisha mambo… Usiamini. Jua."

Enock Maregesi

"Imani ni nia ya kujua kisichoweza kujulikana na hupeleka watu kwenye ukweli. Kuamini hupotosha, na ni nia ya kudharau kinachoweza kujulikana."

Enock Maregesi

"Sina jinsi. Nguzo ya maisha yangu ni historia ya maisha yangu. Historia ya maisha yangu ni urithi wa watu waliojifunza kusema hapana kwa ndiyo nyingi – waliojitolea vitu vingi katika maisha yao kunifikisha hapa nilipo leo – walionifundisha falsafa ya kushindwa si hiari. Siri ya mafanikio yangu ni kujitahidi kwa kadiri ya uwezo wangu wote; au 'pushing the envelope' kwa lugha ya kigeni."

Enock Maregesi

"Wasifu wa viongozi wa Kolonia Santita ni siri kwa sababu siri ni siri ya mafanikio."

Enock Maregesi

"Yusufu alikuwa hohehahe kabla na baada ya kuuzwa na nduguze kama mtumwa nchini Misri. Hakuwa na pesa, hakuwa na elimu, hakujuana na viongozi wa serikali. Lakini kwa vile alikuwa na Mungu, Mungu alimbariki mpaka watu wote wakashangaa. Yusufu alikuwa maskini ili mimi na wewe tuwe na tumaini leo, kwamba tukiwa na Mungu katika maisha yetu hatutatafuta utajiri. Utajiri ndiyo utakaotutafuta sisi."

Enock Maregesi

"Ukitaka kujua maana halisi ya maisha yako kuwa tayari kufanya vitu vikubwa vitakavyohitaji nguvu ya Mungu kuvikamilisha – na kudumu katika maisha hayo kwa kafara ya maombi."

Enock Maregesi

"Wanasayansi wanasema hakuna Mungu kwa sababu hawawezi kumwona wala kumgusa. Lakini nao hawana akili kwa sababu hawawezi kuiona wala kuigusa."

Enock Maregesi

"Usiingilie mambo ya mtu mwingine bila kibali kutoka kwa Mungu. Kuingilia mambo ya mtu mwingine bila kibali kutoka kwa Mungu ni dhambi. Dhambi hiyo itakuathiri. Hivyo, jali mambo yako – ya mwingine Mungu anayafanyia kazi – hadi utakapoitwa na Mungu kuingilia kati. Kuingilia kati mambo ya mtu mwingine kunaweza kuathiri mpango wa Mungu katika maisha yake. Hivyo, acha."

Enock Maregesi

"Mungu ana uwezo wa kukuwekea ulinzi kulia na kushoto yaani anayekulinda naye ana mlinzi wake. Lakini wakati mwingine anaacha ufuate kile ambacho moyo wako unataka kwa sababu hataki kukulazimisha ijapokuwa uwezo huo anao. Mungu hakukuumba kuwa roboti. Alikuumba kuwa huru kuchagua mema au mabaya usije ukamlaumu baadaye kwamba ulimchagua yeye kwa sababu hukuwa na uhuru. Msikilize Roho wa Mungu, kabla na katika kila jambo unalofanya."

Enock Maregesi

"Mungu hatakubali kuwa na mtu katika ufalme wake ambaye hatakubali kutawaliwa naye. Usikubali kutawaliwa na Ibilisi, kubali kutawaliwa na Mungu. Ni jukumu letu kuanza kuishi sasa kama vile tutakavyoishi mbinguni. Shetani anataka uwe na hekima ya duniani ili akupumbaze. Lakini hofu ya Mungu ndiyo msingi wa hekima ya kweli. Ukitaka asikupumbaze, pokea Roho ya Mungu kwa kubatizwa. Ukiipokea Roho ya Mungu utajua mambo ya Mungu, ambayo dunia haiwezi kujua."

Enock Maregesi

"Heshima hujengwa kwa hekima, haijengwi kwa misuli."

Enock Maregesi

"Secure tomorrow today by sowing good seeds today and by watering them with faith and love to others."

Enock Maregesi

"Pambana na Shetani kwa upanga wa imani ambao ni ukweli kwani ukweli ndiyo utakaokuweka huru."

Enock Maregesi

"Novelists and the literary world play an important part in shaping languages. The Swahili they write influence the readers and their languages. The literary obstacle in Tanzania is not that people do not read, but that they don’t read because there are no interesting writers."

Enock Maregesi

"Be nice to the environment. Be nice to animals. Be nice to people. If you do that, you will leave a mark on the world."

Enock Maregesi

"If a leader for the right reasons is blessed by God, even the people he leads will be blessed by God as well. But if the leader is cursed by God because of iniquity, even the people he leads will be cursed as well."

Enock Maregesi

"Write as much as you can. Read as much as you can. Use the library and the internet carefully for research and talk to people about things that matter. If you have an idea in your head talk it to people as a normal conversation, to get their natural opinions. And don’t forget to jot down discreetly any new ideas you get from people. God may use other people to convey messages to you, that may add more information to the ideas you already have."

Enock Maregesi

"Words are the bricks of our world and they have the power to change it."

Enock Maregesi

"I wanted to do something new. The world is becoming a global village and we have to understand these different cultures. There is a Danish culture, an Israeli culture and so on. So if you want to go to Denmark, then read the book."

Enock Maregesi

"I have written all the 406 pages of my book in Swahili words. Even the countries are in Swahili. Instead of 'Nigeria', for example, I have written 'Nijeria'. That is how it is written in the Swahili dictionary. This can seem as a minor detail and that people may find my mission close to ridiculous! However, single letters and commas matter."

Enock Maregesi

"People speak broken Swahili on purpose. Business people for instance will speak Sheng – a mixture of Swahili and English – because that’s what people want to hear. And what is the government doing? They speak broken Swahili most of the time. Swahili is getting lost and I am really sorry for the future generations."

Enock Maregesi

"People think that other international languages are smarter and more business wise. But they have to understand that we have to preserve our culture."

Enock Maregesi

"Dictatorial government is more dangerous than lions!"

Enock Maregesi

"To be able to influence Tanzanian literature and African literature, and sell our books in Tanzania as well as in our continent, we need to be committed to what we do. And what we do is writing. Write as much as you can. Read as much as you can. Use the library and the internet carefully for research and talk to people, about things that matter. To make a living from writing, and make people read again in Tanzania and Africa; we must write very well, very good stories."

Enock Maregesi